
Akiongelea kuhusu changamoto za kimahusiano anazozipata ,Queen alikuwa na haya ya kusema:“Sijabahatika kuwa na mwanaume wa kudumu, wengu hali hiihunikimbia kutokana na hali hii”

Queen ni mtoto wa 4 kati yya familia ya watoto 5. Ni msichana
mzuri na mrembo kimtazamo, lakni tatizo kubwa linalomkabili maishani
mwake ni nywele ambazo zimekuwa zikimfanya aonekane kama mwanaume…..
Akiongea na paparazi wetu kwa njia ya mtandao, Queen amesimulia kuhusu changamoto anazokumbana nazo kutokana na tatizo hilo.
“Nimerithi hizi nywele toka kwa mama yangu na zilinianza nikiwa na miaka 21. Kadri miaka ilivyozidi kusonga mbele, tatizo hili lilizidi kusambaa mwili mzima. “Mwanzo nilikuwa najisikia vibaya sana maana watu walikuwa wakiniona ni kiumbe wa ajabu, lakini baadae nilizoea na ikanilazimu nikubaliane na ukweli
0 COMMENTS:
Post a Comment