January 7, 2014

NGUVU YA MUNGU MAMA MZAZI AJIFUNGUA MAPACHA WANNE

Hi | 6:44:00 PM | |
Aida Nakawala 25 mkazi wa kijiji cha Chiwanda Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya, hivi karibuni alijifungua watoto wanne  mapacha kwa mkupuo(Quadliplets) katika usiku wa kuamkia Mwaka mpya anaendelea vizuri. MBEYA

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster