November 7, 2013

MAONI MAWAZO NA MAPENDEKEZO 82 YA WATANZANIA DHIDI YA VIDEO - BILA KUKUNJA GOTI YA MWANAFA & AY FEAT J MARTINS

Hi | 3:59:00 PM | | | | |


video ipo poa. ila effects zimeharibu, yes. zimeharibu. inaonesha kama kwambo effects zimetiwa na editor anajifunza ku edit. Acha nitoe mix ya video halafu ufananishe na hiyo. ila mmecheza vizuri. effect ilopendeza ni hiyo ya bluish pekee. but nyengine editor amebugi

Sio kila anaesema video sio nzuri basi anaponda. Nakubali wabongo tunapenda sana kuponda lakini binafsi ni fan mkubwa wa MwanaFA na AY, nawakubali sana watu hawa. Nyimbo ni nzuri sana na nilitegemea video ya hali ya juu sana ili kuitendea haki. Kwa kweli lazima tuwe wazi muda mwingine, na anaekuambia ukweli anakupenda. Video quality ni poor, hizo mixing za negative na fading, dancing routines, emotions, ni kama vile haikufanyiwa matayarisho ya uhakika. Nilitegemea zaidi toka kwenu AY na FA

Kwanini mlimkaribisha huyo alievaa kimodo? I think your buggy pants wa cool. Video sio nzuri ileeee

noma Sana mazee

Video nzuri sana

hiii n video moja nzuri sana hongera sana kwa vijana

best video.......as usual A.Y ....nakukubali classic music from audio to video ..excellent

hamna kitu hapo bazee!

Video mbovu mmeushushia hadhi wimbo km vp rudieni!

duh video mbovu xana kama vp iludieni

video mbovu kupita maelezo ila wimbo mzuri... hizo effect za kiduanzi zimewaaribia vijana

kawaida mnoooo

Kawaida sana.. sikutarajia kazi kama hii.. kama vip RUDIENI. Mmeushushia hadhi wimbo.

Ni nouma respect vijana

Hamna kitu wakuu hapo mmezingua

I expected much from you guyz,,,,video ni pooooooooooor..!

video nzuri sana big up to AY na mwana fa

Video mbaya sana ikiwezekana irudie

IRUDIE KAMA VIPI, ngoma ni bonge la hit. hai'deserve hiyo video

AY naaamini una mahusiano mazuri sana na Ogopa Videoz, sasa kwanini hukutaka kufanya nao kazi utoe Video nzuri?...

am also a good fun wa Binamu n Ay but honestly video ni ya kawaida sio level za J>Martins kabisa au Money ya AY. Haina story ya kubang mpaka wote wanijue

VIDEO MBAYA.....

KAKA hii video umeilipia au bureeee...?

Duh, ay bro umechemsha video co kal km money au party zone I'm u'r #1 fun wk ila kwa kichupa iki

sio kiviiiiile

Mmetumia effects za kwenye camera za simu ya kichina teh teh teh wa nigeria wamewaibia kiingilio

Video si nzuri i dnt lyk it bora mngepigia bongo tujue moja

So untochable....

video ni nzuri sana..inaendana na nyimbo..no need to show a Ferrari or Bentley. .The colors and effects of the video are cool..nice job brothers..

kama kawa umefanya kaz kubwa sana video hiko pouwa

hatari...hongereni,mmefanya kazi nzuri...wanaoponda ni washamba...wamezoea kuona magorofa ya posta kwenye kila kichupa...nimependa effects na makila kitu...bg up FA&AY

Dancing jamani sikutegemea kuona kama itakuwa, zile videoz mlizokuwa mnaombwa zirumwe kupitia email zenu na watu wetu wa nguvu zimefanya kazi hii kweli?? The video is poor in dancing, hamna kitu I salute FA na AY

Them niggas are back......halla @ AY and FA

video iko poa kadada kamecheza vizuri sana ila iko poor quality poor desolution sijui inawekazana tatizo ni kwa aliye upload.

sawa kabisa jombaa

video kali balaaa

Embu mkwendeeee uko kazi kuponda tuu cjui tukoje wabongo mitabia mibovu amjuagi kusifia cku zote roho za umasikn zinatusumbua,hyo video inaubaya gani kama sio wivu ni nini,omxccchzzz zenu

Video iko poa sana....thumb up for u guys!!! Ifundaboy #Ay

imetulia ,jamaa wanafanya poa

Video looks like haikua scripted ....wali set cameras wakaanza kushoot....no director involved....ps: kaka ay kill some few pounds..umejiachia sana. its not a bad video thou

balaaaaaaa........teh

video kuwa nzuri pia inategemea na DAMU!

Wabongo bana mbona tunapenda kuponda sana huo wivu tu ukiulizwa haya ubaya wa video uko wapi utajibu fulani hajui kuvaa kama hujui kuhusu video bora ukae kimya au ulitaka wakaitoe kijijini kwenu tusipende kufuata mkumbo kisa mwenzio kasema hivyo na ww unaiga wanaojua kuhusu video tunasema video nzuri

Video ya kawaida sana kiukweli. Guys hamjautendea haki wimbo

great song, great video....u did it

video ni ya kawaida saaaaaana,yani sioni tofauti na video ka ya quickrocka ya bullet,nyimbo nzuri video mbaaaya sana,..next time jitahidini,na JMartins hajatoa heshima kwa hii video na uvaaji wake wa nguo,kama kaimba bure

vdeo ya kawaida sn co nzur kvleee, km vp watengeneze kichupa kingine yan!!!

Mara nyingi huwa aiko hivi! Boooonge la nyimbo afu Video haina mashiiiko kiviiiile katika macho yangu!

Bonge la video tishaaa sana AY & Mwanafa

Find a guy called Side boy crib dancer..

Good song but video noooo... Arrrrgh...very disappointed

I thnk u need to do another video n dump that coz its crap

hapo kweli jimbo bab kubwa sana sema video very poor wamechemsha kweli kweli
habari eliza.czy jestes w polsce?

video iko poa san wel done

KICHUPA NOMA NIMEKIPENDA KINOMA NOMA

GÓWNO !!!!! I MEAN THIS VIDEO IS FUCKING RETARDED :D

Producers wa hii video wamejaribu kuwa creative ila ndio hivyo kuna kupatia na kuchemsha. Wamechemsha. Video za siku hizi ziko next level sio kama hii. Wimbo mzuri ila video IMHO wamechemsha.

FOR ME THIS VIDEO NI KAWAIDA SANA,

duuh hizo swaga za Mwana Fa ni za long tym back hajaribu kwenda sawa na trend za wakat kama huu

kuna kitu kimoja tu mwana fa bado hajabadilika mavazi zero hajajua vazi lipi linampendeza sidhani kama anavyovaa ni sashihi inabidi abadilike he hav to look lik a star coz he is a star

mwanaFa u can dance..ooh ky

salute to you ay

MwanaFA & AY feat J Martins - Bila Kukunja Goti ( Official Video )
Reply
 · 

honestly video ni ya kawaida sana...quality ya nyimbo na video havijaendana kabisa...we ur fans expected a bomb video from both of you

BILA KUKUNJA GOTI Ni ngoma ya kwake Mwana FA na AY wakimshirikisha J Martin kutoka Nigeria.
Reply
 · 

#msaki  
Reply
 · 

BILA KUKUNJA GOTI


 

 

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster