October 2, 2013

MTU AKAANGA KUKU KWA KUTUMIA MIKONO MAAJABU YA DUNIA

Hi | 7:17:00 PM | | |


Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Mr Trichan mwenye umiri wa miaka 50 anayeweza kukaanga kuku kwenye mafuta ya moto kwa kutumia mikono yake. Imeripotiwa kwamba Mr Trichan ana uwezo kukaanga kuku kwenye moto wenye 480c pia ndiye raia wa kwanza ambaye amevunja rekodi duniani kwa kukaanga kuku kwenye mafuta ya moto.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster