BREAKING NEWS..! VIJANA 11 WAKAMATWA MKOANI MTWARA WAKIFANYA MAFUNZO YA KIGAIDI PAMOJA NA ZANA ZA HATARI

Vijana 11 wamekamatwa Mkoani Mtwara wanafanya mazoezi katika msitu wa Makolionga na CD zenye mafunzo ya kigaidi za Al Qaeda na Al Shabab pamoja na zana za hatari.
0 COMMENTS:
Post a Comment