August 12, 2013

TAZAMA VIDEO YA SHEIKH PONDA ALIPOPELEKWA HOSPITAL YA MUHIMBILI

Hi | 6:24:00 PM | |
Sheik Ponda alipigwa risasi jana baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara Morogoro.Tazama video ya Ponda akiwa anaingizwa MOI leo mchana.Ponda yuko katika hali mbaya na hapa ni wakati anaingizwa chumba cha matibabu

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster