July 5, 2013

MMILIKI WA FACEBOOK AUNGA MKONO NDOA YA JINSIA MOJA KWA KUSHEREKEA NA WAFANYAKAZI WAKE ZAIDI YA 700 MTAANI

Hi | 12:47:00 AM |
 
Mmiliki wa mtandao wakijamii Facebook CEO pichani Mark Zuckerberg amejiunga na wafanyakazi wa kampuni yake waliozidi 700 katika matembezi ya
kusherekea maamuzi ya mahakama kuhusu haki za ndoa ya jinsia moja. Matembezi haya yamefanyika mitaa ya San Francisco Jumapili Asubuh. Sheria hio inayo sherekewa Imeruhusu wanandoa wa jinsia moja kumiliki leseni ya ndoa ndani ya siku 30 baada ya kuoana.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster