NATAFUTA RAFIKI WA KIKE KUTOKA MBEYA VERY SERIOUS.
Mimi ni kijana ( mvulana) wa kitanzania mwenye umri wa miaka 28. Ni mwenyeji wa mkoa wa Mbeya lakini kwa sasa naishi nje ya mkoa wa Mbeya ambako natafuta maisha. Dini yangu mkristo (Moravian), nipo singo, sina mototo, sijawahi kuoa. Mwonekano wangu wa nje ni; mweusi, mwembamba, sio mrefu wala sio mfupi sana. Situmii pombe wala sigara.

Nipo serious katika swala hili. Natafuta rafiki wa kike kwa uhusiano serious utakaoishia kwenye ndoa na kuanzisha familia kama tukiridhiana na kuelewana. Nahitaji msichana mstaarabu na anayejiheshimu aliyetayari
SIFA ZA MSICHANA NINAYEMUHITAJI:
UMRI WAKE: Asizidi miaka 24.
DINI YAKE: Mkristo ( mcha mungu wa kweli)
ELIMU YAKE: Yoyote
KAZI YAKE; Yoyote ilimuradi iwe halali
ANAKOISHI: Mkoa wowote, sehemu yoyote lakini awe mwenyeji wa Mbeya
POMBE/ SIGARA: Asitumie kabisa
MWONEKANO WAKE: Awe mweupe au maji ya kunde, umbo la kati ( sio mnene sana ) na wala sio mrefu sana au mfupi sana.
MUHIMU: Asiwe na mtoto na asiwe amewahi kuolewa au kuishi na mwanaume
KWA MWENYE VIGEZO HIVYO TUWASILIANE KWA no. 0752 827 646 AU 0713 908 229 AU EMAIL; masterdetective1985@gmail.com.
Mambo mengine tutufahamishana baada ya kuwasiliana
Naitwa Peter Dangala Naishi Mbeya natafuta mke wa ndoa kwa yeyote atakaekuwa yupo tayari tuwasiliane kupitia Namba yangu ya simu 0764 245968
0 COMMENTS:
Post a Comment