Kila mtanzania anayemiliki simu ya mkononi utalipa kodi ya Tshs 1000/= kwa mwezi kwa kila kadi (laini) ya simu uliyonayo na hii imepitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na imeanza rasmi sasa, Kiasi hicho cha pesa unalipa wewe mwenye line na kampuni yako itakusanya kwa niaba ya serikali.
0 COMMENTS:
Post a Comment