Aneth Kushaba AK 47 akiongoza kikosi
kazi cha Skylight Band kutoa burudani katika usiku maalum wa Kiafrika
kwa mashabiki wa Band hiyo
Mbunifu wa Mavazi nchini Ally
Rehmtullah alikuwa miongoni mwa mashabiki waliohudhuria usiku huo maalum
uliondaliwa na Skylight Band.
Wapiga Solo na Bass wa Skylight Band wakiwajibika ni Allan Kisso na Chili Chala.
0 COMMENTS:
Post a Comment