Wakali wa ngoma “MUZIKI GANI” , yaani Nay Wa Mitego Na Diamond wako
njiani kuachia ngoma nyingine wakiwa katika collabo …
Inasadikika kuwa
Platnumz na Wa Mitego wamesharekodi ngoma kadhaa ikiwemo SALAMU ZAO,
UTAKULA JEURI YAKO na nyinginezo ila wanashauriana ni ipi ya kuto
MUZIKI GANI imefanya vizuri sana na wasanii hawa na hakutakuwa na
tatizo kama wakiendeleza kazi zao kwa pamoja … Wasanii hawa wako kwenye
ziara zao tofauti kimuziki lakini tuwategemee tena na ngoma nyingine
kali
0 COMMENTS:
Post a Comment