Mtambo
wa Wachina ukinyenyua gari la Kampuni ya Sabena baada ya kupata ajali
eneo la maji mazuri Kawetere barabara ya Chunya likiwa linaelekea Tabora.
Baadhi
ya abiria walionusurika wakihamisha mizigo yao kutoka katika gari
lililopata ajali ya Kampuni ya Sabena.
0 COMMENTS:
Post a Comment