March 26, 2013

WASANII WENYE LIKE NYINGI KUPITIA MTANDAO WA KIJAMII FACEBOOK EAST AFRICA

Hi | 1:59:00 PM | | | | | |
Nonini ameonekana kuwa na Likes nyingi zaidi kuliko wasanii wote kutoka East Africa, kwani msanii huyo anaongoza kwa kuwa na Likes 91,650 katika mtandao wa kijamii wa Facebook.

Wasanii kutoka nchini Tanzania ambao wanaongoza kuwa na likes nyingi zaidi ni Fid Q pamoja na Lady Jaydee, ambapo Fid Q ana jumla ya Likes 51,600 na Jide ana jumla ya Likes 42,700.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster