March 26, 2013

"SISTER MERRY" HAIJAFUNGIWA ILA INAFANYIWA MAREKEBISHO YA KUPUNGUZA UDHALILISHWAJI WA DINI YA ROMANI

Hi | 3:24:00 PM | | | | | | |
Mwigizaji mahiri wa Bongo Movies Vicent Kigosi maarufu kama Ray amewatoa hofu mashabiki wake kuhusu filamu yake ya ‘Sister Mary’ kuwa haijafungiwa japo kuna baadhi ya sehemu wameambiwa wazifanyie marekebisho na baadaye itakuja kutoka.

Ray amekuwa akilalamikia wahakiki wa kazi za wasanii kutowatendea haki pale wanapowapelekea kazi ambazo zinawagusa wahakiki na kushindwa kuzitendea maamuzi yalio sahihi.


Amesema Ray. Kuna udhaifu mkubwa katika kuhakiki kazi ya mwisho ya msanii kwa kuwa wanaohakiki mara nyingi hawapendi filamu inayowagusa na kuwakosoa,

Sister Mary ilidaiwa kuwa inalidhalilisha kanisa katoliki na hivyo mapadre kutaka ipigwe marufuku.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster