March 15, 2013

BREAKING NEWS..!! DUNIA IMEKWISHA MPYA HII MCHUNGAJI ATIWA SELLO BAADA YA KUWADANGANYA WAUMINI WAKE KUWA ANA UUME UNAOTOA MAZIWA MATAKATIFU

Hi | 11:54:00 AM |

Ni  kituko  ambacho  ni  vigumu  kukiamini  na  kukishuhudia  kikitendwa  na  mtumishi....

Huyu  ni  MCHUNGAJI  wa  kibrazili  ambaye  alikuwa  akiwashawishi  waumini  wa  kike  waamini  kuwa   uume  wake  una maziwa  na  kwamba  Roho  mtakatifu  humtokea  kupitia  viungo  vyake......

Kwa  kifupi  anadai  kuwa  uume  wake  umebarikiwa na Mungu ameujalia kuwa unatoa maziwa matakatifu.

Polisi  wameamua kumtia  nguvuni  kwa  udanganyifu  mkubwa mchunganji huyo ambaye amepata jina la 'Mr Penis Milk'

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster