Taswira ya basi lenye usajili wa namba T736 ABH ambalo hatujapata jina lake ambalo limepata ajari mbaya na kuua watu watano papo hapo.
Basi lenye usajili wa namba T736 ABH ambalo hatujapata jina lake mpaka sasa limepata ajali mbaya eneo la Katunguru Kamanga na watu watano kufariki likiwa linatokea maeneo ya Kahunda Mkoani Geita kuelekea Mwanza. Chanzo kinasema kuwa Dereva aliyekuwa anaendesha basi hilo alikuwa si mwenyeji katika barabara hiyo na iliangukia njia panda ya katunguru Kamanga na baadhi ya majeruhi walipelekwa katika hospitali ya Sengerema Mision.
0 COMMENTS:
Post a Comment