February 8, 2013

TAZAMA TASWIRA ZA MWANAMKE MFUPI KULIKO WOTE DUNIANI MWENYE UREFU WA INCHI 24.7 NA MIAKA 18

Hi | 3:07:00 AM |

Guinness World Records kutoka central India imethibitisha kuwa Jyoti Amge mwenye urefu wa inchi 24.7 aliyeshelehekea hivi juzi siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka 18, kuwa ndiye mwanamke mfupi kuliko wanawake wengine duniani

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster