Brown Wa Nba & Daddy Wamiuzo
Vanirraz" kwenye Location ya kichupa cha "RANGI YA MAKOPA kaa mkao wa kula mdau.
Mdau na mpenzi wa Blog yetu ya Ramsoict nimebahatika kufanya Interview fupi na Boonge la Artist chipukizi kutoka pande za Mji wenye Samaki wengi Mwanza Kwanza anayekwenda kwa jina la Brown Wa NBA amenitonya kuwa anapenda kuwajuza mafans wake na kuwahabarisha juu ya maandalizi yanayoendelea ya uchukuaji na ujio wa video yake ya wimbo wa Rangi ya Makopa aliyoifanya katika Studio za K-Records pande za Big Bite Jijini Mwanza chini ya Mkono wa THE HOT HAND Producer Lollypop, Video hiyo inafanywa na One LOVE FX ya Jijini Mwanza ambayo imewahi kufanya Video tamu na kali kama ya DEAR GOD kutoka kwa Mkali wa HipHop Kalla Jeremiah akiwa pia ni mkali wa Mwanza Kwanza.
Ili kudhilisha na kuondoa nidhamu ya woga na kuboresha ubora wa kazi katika kiwango cha hali ya juu sana One LOVE FX wamefanya Video hii katika sehemu mbalimbali ikiwa ni pamoja na Mwanza na Mikoa tofauti mingine,
Kaa mkao wa kula mdau na mpenzi wa Blog hii hivi punde tutaidondosha Video hiyo kwani ipo katika final scene.
Mdau kama hukubahatika kusikiliza radha ya wimbo wa RANGI YA MAKOPA unaweza kudownload na kuhifadhi katika Computer yako kupitia link hii hapa chini.
DOWNLOAD CLICK HERE
Mdau kama hukubahatika kusikiliza radha ya wimbo wa RANGI YA MAKOPA unaweza kudownload na kuhifadhi katika Computer yako kupitia link hii hapa chini.
DOWNLOAD CLICK HERE
0 COMMENTS:
Post a Comment