February 5, 2013

MSANII WA FILAMU ZA KUCHEKESHA NCHINI MAARUFU KITALE AFUNGA NDOA

Hi | 10:12:00 PM | | | | | |
Msanii wa Filamu za kuchekesha nchini Tanzania maarufu kama Kitale, jana amefunga ndoa na mpenzi wake, ambae leo hii tunamuongelea kama mkewe, Bi Fatma Salum. Ndoa hiyo ilifungwa majira ya Saa nane mchana maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam, na kuhudhuriwa na watu kibao wakiwemo marafiki, ndugu na jamaa.
Kila ka kheri ndugu yetu na Mungu abariki ndoa yako milele.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster