February 19, 2013

MSANII WA BONGO MKALI WA HIPHOP NEY WA MITEGO APATA AJARI MBAYA

Hi | 11:55:00 PM | | | | | |
Pichani ni rafiki wa Karibu na msanii Ney wa Mitego aliyepata majera baada ya ajari hiyo.
Hii ndiyo gari aliyokuwa akimiriki msaani wa miondoko ya Hiphop Ney wa mitego jinsi inavyoonekana bada ya ajali, Chanzo kinasema kuwa Ney wa Mitego alikuwa akitokea Coco Beach kutazama mpira wa miguu na kuna Lori kubwa lilipita na kuwavaa kisha kutoweka kusikojulikana na likiwa na mwendo kasi sana, Ila Ney wa Mitego hajadhurika chochote zaidi ya rafiki yake waliyekuwa kuwa naye ndani ya gari.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster