Meneja mauzo wa Makampuni makubwa wa kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Esther Mattle akimkabidhi mzee Juma Sizya mfano wa hundi Sh1 millioni baada ya kushinda promosheni ya Shinda Mahela na Vodacom inayoendelea.Katikati ni Meneja kutoka kampuni hiyo Benjamin Michael
Rukia Mtingwa kulia, katikati Esther wakizungumza na waandishi wa habari juu ya promosheni za Vodacom Mahela inayoendelea mpaka sasa.
0 COMMENTS:
Post a Comment