Meneja
wa Vodacom Foundation Grace Lyon (kushoto) akimkabidhi Katibu Msaidizi
wa Mtandao wa Free Drug Zanzibar Fatma Sukwa sehemu ya msaada wa vyakula
na bidhaa nyingine za nyumbani kutoka Vodacom Foundation kusaidia
nyumba kumi na moja za kusaidia watumiaji wa dawa za kulevya kuachana na
matumizi ya dawa hizo Kisiwani Unguja. Wa pili kushoto ni Meneja wa
Vodacom Zanzibar Mohamed Mansour na Meneja Mahusiano ya Nje wa kampuni
hiyo Salum Mwalim. Msaada huo ni sehemu ya program ya Pamoja na Vodacom
ya kusaidia watu wenye mahitaji msimu wa Sikukuu za mwishoni mwa mwaka.
Meneja
wa Vodacom Zanzibar Mohammed Mansour (wa kwanza kushoto) akimkabidhi
Katibu wa Taasisi ya Zanzibar Free Drug Badru Nassir Ali sehemu ya
msaada wa vyakula na bidhaa nyingine za nyumbani kutoka Vodacom
Foundation kusaidia nyumba kumi na moja za kusaidia waathirika wa dawa
za kulevya kuachana na matumizi ya dawa hizo Kisiwani Unguja.
Wanaoshuhudia ni Meneja Mahusiano ya Nje wa Vodacom Salum Mwalim
(Katikati) na Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon. Hafla hiyo
ilifanyika Mjini Zanzibar hivi karibuni. Msaada huo ni sehemu ya program
ya Pamoja an Vodacom ya kusaidia watu wenye mahitaji msimu wa Sikukuu
za mwishoni mwa mwaka.
Meneja
wa Vodacom Foundation Grace Lyon akizungumza wakati wa halfa ya
kukabidhi msaada ya vyakula na bidhaa nyingine za matumizi ya nyumbani
uliotolewa na Vodacom Foundation kwa vituo kumi na moja vya kusaidia
watumiaji wa dawa za kulevya kuachana na matumizi ya dawa hizo.
Wafanyakazi
wa Vodacom Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja na waanzilishi wa
vituo na watumiaji wa dawa za kulevya mara baada ya kutoa msaada ya
vyakula na bidhaa nyengine za matumizi ya nyumbani uliotolewa na Vodacom
Foundation kwa vituo kumi na moja vya kusaidia watumiaji wa dawa za
kulevya kuachana na matumizi ya dawa hizo.
Meneja wa Vodacom Foundation
Grace Lyon (kushoto) akimkabidhi Katibu Msaidizi wa Mtandao wa Free Drug
Zanzibar Fatma Sukwa sehemu ya msaada wa vyakula na bidhaa nyingine za
nyumbani kutoka Vodacom Foundation kusaidia nyumba kumi na moja za
kusaidia watumiaji wa dawa za kulevya kuachana na matumizi ya dawa hizo
Kisiwani Unguja. Wa pili kushoto ni Meneja wa Vodacom Zanzibar Mohamed
Mansour na Meneja Mahusiano ya Nje wa kampuni hiyo Salum Mwalim. Msaada
huo ni sehemu ya program ya Pamoja na Vodacom ya kusaidia watu wenye
mahitaji msimu wa Sikukuu za mwishoni mwa mwaka.
Baadhi ya watumiaji wa dawa za kulevya waliopo kituoni hapo kwa ajili ya kuachana na matumizi ya dawa hizo.
Meneja
wa Vodacom Zanzibar Mohammed Mansour (wa kwanza kushoto) akimkabidhi
Katibu wa Taasisi ya Zanzibar Free Drug Badru Nassir Ali sehemu ya
msaada wa vyakula na bidhaa nyingine za nyumbani kutoka Vodacom
Foundation kusaidia nyumba kumi na moja za kusaidia waathirika wa dawa
za kulevya kuachana na matumizi ya dawa hizo Kisiwani Unguja.
Wanaoshuhudia ni Meneja Mahusiano ya Nje wa Vodacom Salum Mwalim
(Katikati) na Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon. Hafla hiyo
ilifanyika Mjini Zanzibar hivi karibuni. Msaada huo ni sehemu ya program
ya Pamoja an Vodacom ya kusaidia watu wenye mahitaji msimu wa Sikukuu
za mwishoni mwa mwaka.
Meneja
wa Vodacom Foundation Grace Lyon akizungumza wakati wa halfa ya
kukabidhi msaada ya vyakula na bidhaa nyingine za matumizi ya nyumbani
uliotolewa na Vodacom Foundation kwa vituo kumi na moja vya kusaidia
watumiaji wa dawa za kulevya kuachana na matumizi ya dawa hizo.
0 COMMENTS:
Post a Comment