January 22, 2013

TASWIRA ZA KUDONDOKA UKUTA KATIKA KITUO CHA MABASI YA MIKOANI UBUNGO NA KUHARIBU MAGARI.

Hi | 12:10:00 AM | |
 
Kenyela akiongea jambo juu ya ajali hiyo.
SEHEMU ya ukuta wa kituo cha mabasi ya kwenda mikoani cha Ubungo, jijini Dar es Salaam, leo alfajiri  umeanguka na kuyaharibu vibaya magari  zaidi ya ishirini yaliyokuwa yameegeshwa nje ya eneo hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Charles Kenyela alisema kuwa idadi ya magari yaliyopatwa na ajali hiyo yanakadiriwa kufikia 24 ambapo watu watatu wanasemekana wamejeruhiwa.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster