January 13, 2013

NANI ATAMKOMBOA MAMA HUYU NA NI JUKUMU LA NANI KATIKA FAMILIA?

Hi | 11:50:00 PM | |

Masikitiko yangu makubwa kuona wakina mama wengi kama huyu wakikabiliwa na majukumu makubwa, huku ukiwakuta wakina baba wakiwa kwenye vilabu vya pombe au kwenye bao au kwenye vijiwe vya kahawa.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster