January 18, 2013

MSANII WA MIONDOKO YA POP MAARUFU SHAKIRA SASA NI MJA MZITO

Hi | 2:34:00 PM | |
Msanii wa miondoko ya pop maarufu kwa jina la Shakira, sasa ni mja mzito. Wiki hii mwanadada huyu anayemirikiwa na mzazi mwenzie Gerard Pique, ameonekana kuwa na mimba kubwa na hivi karibuni watapata watoto.

Shakira alitamba sana na ngoma kibao kama "hips don't lie" na nyingine kibao, kwa sasa anamiaka 35.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster