Kijana mmojaambaye jina lake
halikuweza kupatikana mara moja akilia kwa uchungu mara baada ya kupokea
kichapo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali mara baada ya kudaiwa
ameiba nyama ya Nguruwe (Kitimoto) pamoja na Bia katika glosali jijini
Dar es Salaam.
0 COMMENTS:
Post a Comment