January 21, 2013

FASTJET YA RAHISISHA ULIPIAJI WA TIKETI ZAKE ZA NDEGE KWA KUTUMIA M - PESA

Hi | 11:56:00 PM | | | |
Habari Njema: Sasa Unaweza kulipia tiketi yako ya ndege kupitia Vodacom Tanzania M- Pesa.

Mfumo huu wa malipo Kutumia simu ya mkononi unarahisisha kufanya malipo ya tiketi yako kwa urahisi zaidi kuliko awali, Huitaji Akaunti ya benki . Unachotakiwa ni kutumia namba yako ya kumbukumbu uliyopata baada ya kufanya booking kwenye mtandao wetu na uitume kwenye akaunti namba ya fastjet; 900900.

Good news - we've made payments for fastjet flights faster! You can now pay for fastjet flights using Vodacom Tanzania M-Pesa. No need for a bank account or cash. Just use your unique booking number as a reference when booking online and send to fastjet's business number 900900.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster