December 14, 2012

WINFRIDA DOMINIQUE MTANZANIA ANAYETUWAKIRISHA KWENYE SHINDANO LA MISS UNIVERSE 2012....

Hi | 12:26:00 AM | | | | | | | |
Winfrida Dominique
Washiriki wa shindano la Miss Universe 2012 watakuchuana December 19 kwenye ukumbi wa Planet Hollywood Resort and Casino jijni Las Vegas, Nevada.
Unaweza kumpigia kura mwakilishi wa Tanzania katika shindano hilo Winfrida Dominique kwa kubonyeza link hii.

http://missuniverse.com/members/profile/652697/year:2012

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster