December 16, 2012

TASWIRA ZA KOFII OLOMIDE LILILOFANYIKA JANA USIKU KWENYE VIWANJA VYA LEADERS KINONDONI

Hi | 9:07:00 PM | | | | | | |
  Kofii Olomide akiimba na mmoja wa waimbaji wake Cindy.
Mwanamuziki Kofii Olomide  akiwa na mmoja wa waimbaji wake wa kike wakipagawisha mashabiki wa bendi hiyo  waliojitokeza kwa wingi katika viwanja vya Leaders ili kushuhudia kile anachokifanya jukwaani.
Mwanamuziki Kofii Olomide akiwa amezungukwa na vimwana hao ambao ni wanenguajia wa bendi yake huku akiwa katikati yao kama mfalme.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster