
Ben Pol

Linah wa THT

Barnaba akicheza na Mrembo kwa Stage

THT wakishangilia jukwaani wakati wakisherehekea kutimiza miaka 7 kwa kundi lao.
Sheta
Mwasiti na wasanii wenzake kutoka THT
Kijana mzee wa Magubegube Barnaba boy akionyesha umahiri wa Kuchalaza gitaa
Twanga Pepeta wakikamua vilivyo kwa stage
Baba wa Mipasho Mfalme Mzee Yusuph
Msanii kutoka nyumba ya vipaji THT
Msanii kutoka nyumba ya vipaji THT
Queen Darleen
Bi Cheka na Dogo Asley wakiwapagawisha Mashabiki
Shilole
WASANII
wa nyumba ya vipaji, Tanzania House of Tallent ‘THT’ usiku wa kuamkia
leo waliangusha bonge la pati ndani ya Ukumbi wa Dar live uliopo
Mabagala jijini Dar kusherehekea miaka 7 ya kuanzishwa kundi hilo la
kukuza vipaji. Katika pati hiyo wasanii mbalimbali wa muziki walitoa
burudani hasa wasanii wenyewe wa THT. Pichani juu ni baadhi ya matukio
yaliyojili ukumbini hapo.
0 COMMENTS:
Post a Comment