December 13, 2012

TASWIRA YA PARTY YA CROSS ROAD ILIYOANDALIWA NA KAMPUNI YA SIMU ZA MIKONONI YA TIGO

Hi | 1:11:00 AM | | | | |
Baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Mwanza waliojitokeza katika party ya Cross road iliyoandaliwa na kampuni ya simu za mikononi ya Tigo.
Wakazi wa Mwanza wakionyesha vipaji vyao vya kucheza jukwaani wakati wa party ya burudani ya Tigo cross road iliyofanyika katika viwanja vya Furahisha mkoani Mwanza
Watoa huduma wa kampuni ya simu ya Tigo wakimsikiliza mteja ili waweze kumhudumia.
Mkazi wa Mwanza akionyesha kipaji chake cha kurap katika Tigo Crossroad party viwanja vya Furahisha mkoni Mwanza

1 COMMENTS:

Anonymous said...

Kazi nzuri sana Ramsoict

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster