Meneja
wa Benki ya NMB, Tawi la Makao Makuu, Benadicta Byabato (kushoto)
akimkabidhi mshindi wa Maisha Plus Seasons 3 Bernick Kimiro kitita cha
Shilingi Milioni 20 baada ya kuibuka mshindi katika shindano
lililomalizika juma lililolipita jijini Dar es Salaam.
0 COMMENTS:
Post a Comment