December 23, 2012

KWA WALE WANAOTOA MIMBA...WANAWAKE HUFANYISHWA NGONO ZEMBE KABLA YA KUHUDUMIWA

Hi | 2:05:00 PM | |
 Pichani ni Dr. Joshua mhusika wa tukio hili.
Ambapo mgonjwa  Kabla ya  kuhudumiwa,  baadhi ya  madaktari  hao huwafanyisha  ngono zembe  kwa  madai  kuwa  MILANGO YAO NI MIDOGO  NA  KWAMBA  ZOEZI  HILO LITAKWAMA.......
Ili  kuupanua  mlango  huo,  daktari  huomba  penzi.Mbaya zaidi  hata  kondomu huwa  hazitumiki.....
Mbali na  kuombwa  penzi, zoezi hilo  mara nyingi hufanyika katika  mazingira  ya  kujificha  na wanawake zaidi  ya  10  hutumia  vifaa vile vile.......Pana  usalama kweli hapo????

Mkanda  huo  unamuonesha  Dr. Joshua  ambaye hufanya mapenzi  na wateja  wake kabla ya   kuwahudumia.....
Baada  ya  taarifa hizo kusambaa, wanahabari walifika katika  hospitali hiyo  kwa  lengo la kutegesha  kamera  huku  wakjifanya   wana  mimba na wanataka  kuzitoa..... ANGALIA VIDEO YA TUKIO ZIMA  HAPA

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster