Nitakuonyesha jinsi ya ku unlock HUAWEI E303 modems mpya kwa ku update firmware ndugu bila usumbufu na uweze kula maisha fuatilia maelezo haya kwa umakini sana.
1. Download Universal Master Code Calculator kwa ajili ya kupata FLASH CODE kupitia link hii here
2. Baada ya kupata "Universal Master Code Calculator" weka IME ili kupata FLASH CODES ambayo katika ku update firmware itatumika kama PASSWORD katika hatua inayofuata.
3. Download HUAWEI E303 firmware kupitia link hii here
4. Unzip file kupitia Winrar kama huna download ni bure tu kupitia google search alafu hakikisha moderm iko connected kwenye CPU yako na pia ukiwa umeweka sim card ambayo itakuwa tofauti na Voda ndani yake.
5. Funga au close ile dashboad ya voda ambayo itakuwa imefunguka baada ya kuwa umeiweka kwenye CPU alafu bonyeza ile update uliyodownload, subiri kwa muda kama katika hatua inayofuata itaomba PASSWORD weka FLASH CODE uliyopata kutoka Universal Mastercode Calculator.. Kisha next bonyeza na baada ya muda mfupi itakuwa moderm yako imefunguka

Nakutakia mafanikio mema baada ya kufanikiwa unaweza kunipatia feedback Pia kama una Moderm ya aina yeyote na unahitaji kutumia line zote .
For any Problem contact with me via email ramsok2@gmail.com or sonramso@yahoo.com.
0 COMMENTS:
Post a Comment