
Kwa kadri ya maelezo ya mama
yake dawa ambazo anahitaji kuzitumia ili kupona ni gharama na pia kama
wote tunavyofahamu pia mgonjwa yoyote anatakiwa kula vizuri, mzigo huu
ni mkubwa kwa huyu mama, kwa hiyo kunahitajika msaada wa kubeba mzigo
huo. Wapenzi wa muziki wa binti huyu na watu wenye mapenzi mema tunaweza
kumsaidia mama huyu kwa kumtumia kiasi chochote cha fedha kwa kutumia
huduma ya tigo pesa kupitia namba 0655999700.
0 COMMENTS:
Post a Comment