
Msanii mpya anayekuja kwa kasi kubwa kutoka Hometown Jijini Mwanza anayekwenda kwa jina la Brown Wa NBA! ameingia kwenye music hivi
karibuni na wimbo wake mpya unaoitwa RANGI YA MAKOPA. Brown Wa NBA ft
T-Nock! produced by Lollipop ndani ya studio za K-Records (Classic
Music). Anahitaji support kubwa toka kwetu sote! Kwa upendo mwingi
karibu sana!! Kwa mawazo na mapendekezo usisite tembelea page yake ya facebook Bonyeza hapa Brown wa NBA
Download Hapa chini.
0 COMMENTS:
Post a Comment