Crazy GK katikati na Vijana wake Mwana FA kulia pamoja Ay
Jana ktk Viwanja vya Karimjee Kiongozi wa Ngome East Coast Team, King
Crazy Gk alitunukiwa Degree Yake ya kwanza katika masuala ya Mass
Communication, washkaji zake wa Zamani Mwana FA na Ambwene Yesaya
walikuepo pia ku show love
Dj Fetty wa clouds fm na Gamba lake Mkononi Akiwa na FA na AY
0 COMMENTS:
Post a Comment