Inasemekana kuwa Janet Jackson (46) Wissam Al Mana(36) amabae
ni tajiri kutoka Qatar,wamekuwa na mahusiano ya kimapenzi tangia mwaka
2010 na sasa wamefikia maamuzi yakuwa Mume na Mke na hatua hiyo
imempelekea Janet Jackson kubadilisha dini na sasa Janet ni
Muislamu....Ndoa hiyo inatarajiwa kufanyika Doha nchini Qatar mwaka 2013 na kwa sasa tayari sherehe imeanza kupangwa.
0 COMMENTS:
Post a Comment