Wes Jackson, President and executive director of Brooklyn Hip
hop festival in the middle Witnesz the Fitnes mkewe Ebonie Jackson ambaye yupo
kwenye kitengo cha mahesabu ya shughuli kadhaa za mumewe ikiwemo Hip Hop
Festival and Brooklyn Bodega
Brooklyn Bodega a complicated animal, creators of BHF, Top notch blogazine
(blog meets magazine) cultural programmers, Hip Hop Advocacy Group.
The bodega was founded in 2006 by Wes Jackson as the online home
of the BHF , under the guidance of Bodega’s initial creative director and
administrator James Blagden and Alma Geddy-Romeo.
The bodega grew into one of the most respected online
destinations in the Hip Hop community Editorially, the
Bodega strives to add a more academic voice to the world of Hip Hop
Journalism, It Derives deep into issue facing the Hip Hop community from music
business to politics to technology and they offer a professional and
intellectual voice.
Wes Jackson has over 15years experience as an entrepreneur and
innovator in music business. His carrier began with producing concerts for Nas,
The Roots, The Dave Mathews, band and de La Soul etc. He went on and started
his own promotions company by the name seven Heads Promotions, seven Heads was
instrumental in launching the career of MOs Def. ,Talib Kweli and others under
Wes’ Leadership. Seven Heads expanded into a Record label and a management
company, The record company that spun into the room Service Group (RSG) one of
the leading digital marketing, RSG has worked with Def. Jam, Capitol, Warner
Bros, Interscope, vivendi, and converse the list is endless.
In addition to his successful business ventures Wes also
serves as lecture at city University of New York (CUNY) Wes’s entrepreneurship
spirit endure as he continues to grow the BHF into a world class event also as
the Brooklyn Bodega Brand with the pop-up store Bbeats at DeKalb market in
Downtown Brooklyn,
Wes aliweza eleza kiurefu zaidi juu ya biashara mjini New York
kama mmiliki halisi wa hiyo Festival iitwayo Brooklyn Bodega na record label na
mengineyo ambayo yote yanahusika na harakati za kihip hop zenye mafanikio
makubwa up to date na kufafanua kibiashara zaidi mambo mbali mbali ikiwemo
ujasiriamali na sababu za festival hiyo kutohusisha sana au kabisa wasanii
kutoka nje wa Hip Hop,alisema wes kuwa wasanii wa hip hop Nchini New York wapo
wengi mno mfano wa mafuriko na wote ni wa kali na kusbabisha eneo hilo kuwa
hapatoshi hata kwa wakazi wenyewe so mtu yeyote akitoka nje ya nchi akitaka
kuingia kwenye soko hilo ni lazima awe extra special, multitalented, unique na
awe ni mchapa kazi mara tatu ya wasanii wa New York na ndivyo ilivyo kwa
wanawake wanao fanya Hip Hop pia the half to beat men ambao they are flooded
with extra energy has to be used In order to stay on the top of the game.
Pia nilipata kujua maana ya
neno Bodega kama ambapo iliwahi sikika kwenye moja ya nyimbo za Big punisher
alipo sema my father’s Bodega kwenye intro na kufafanua ya kwamba neno Bodega
ni la kispanish likimaanisha panapo tengenezwa wine, ama corner store mjini new
york ambapo huuzwa wine,vilevi mbali mbali na vitu vyote vihusuvyo starehe
ikiwemo urahisi wa kupata condoms hata nyakati za usiku huwa pako wazi masaa 24
siku saba za wiki 24/7 kwenye hiyo corner store wanapatania ya kuwa ni an
organized mess place,nikmrahisishia kwa kusema an organized place in a
disorganized manner?
Akasema thats whats up kwa kuwa ukienda kwenye a corner
store kulikuwa kuna taka taka karibia za aina zote anazohitaji mtu kwa nyakati
za usiku na mchana na hutumika kama maskani na kupanga kuhusu mitikasi pamoja
na kupeana mistari ma dj,rappers watu wa aina zote kwenye harakati walikuwa
wakitia maguuhapo hata mkiwa hampatani mtaani mkifika hapo kila mtu huwa
peacefull ni kiduka kona ambacho watu wa jinsia zote na kutoka pande zote
kupata huduma,kwa upande wangu nilipata picha ya gengeni ambapo mara nyingi
vijana hukaa hapo ndani ya bong na kuganga njaa ama wakihesabu magari ama kwa
kuwalaghai mabinti hahahahaa!
0 COMMENTS:
Post a Comment