Washidi wa shindano la Miss na Mr Dar es Salaam School of Journalism
waliokaa kushoto Hassan Omary na Miss Diana Nyakasinda wakiwa na zawadi
zao mara baada ya kutangazwa kuwa washindi kwenye shindano
lililomalizika hivi punde kwenye eneo la Kijiji Beach Kigamboni.
Washiriki wa Shindano la Miss na Mr Dsj wakiwa kwenye picha ya pamoja
wakati wakisubiri kutangazwa kwa washindi.
0 COMMENTS:
Post a Comment