ichwa cha treni pamoja na mabehewa sita ya awamu ya kwanza,yakisubiri
kufanyiwa majaribio kwa Safari zitazoanzia Station Dar es Salaam
Mpaka Ubungo mnamo mwezi wa kumi,majaribia hayo
yameongozwa asubuhi ya leo na Naibu Waziri wa Uchukuzi,Mhe. Dk Charles Tizeba(Mb) ambaye alipanda treni hiyo kuanzia Station Dar es Salaam Mpaka Ubungo.Serikali imetumia kiasi cha Sh. Bil 4.75 kwa ajili ya ukarabati wa njia,injini na mabehewa

Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania(TRL)wakiwa na
furaha ndani ya mojawapo ya mabehewa yaliyofanyiwa majaribio leo abubuhi.
Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi,Dk. Charles Tizeba(Mb) dirisha la
pili kutoka kulia,akiangalia nje wakati wa majaribio ya mabehewa sita
kati ya kumi na mbili yatakayofanya safari zake kutoka Station mpaka
Ubungo kuanzia mwezi wa Kumi mwaka huu,Treni hizo zitasaidia
wananchi katika usafiri jijini Dar es Salaam.
0 COMMENTS:
Post a Comment