Sehemu
ya umati watu waliojitokeza kila kona jiji la Dar na kwingineko
kuwashuhudia wasanii mbalimbali wakitumbuiza kwenye jukwaa la tamasha la
Serengeti Fiesta 2012,akiwemo Mwanamuziki wa kimataifa kutoka nchini
Marekani,Rick Ross.
Wasanii
wa kundi la Wanaume TMK,likiongozwa na Mh Themba sambamba na Chege
Chigunda wakilishambulia jukwaa vilivyo usiku huu kwenye tamasha la
Serengeti Fiesta 2012,
0 COMMENTS:
Post a Comment