
Msanii maarufu wa filamu nchini, Elizabeth 'Lulu' Michael pichani
juu, akielekea kupanda basi la magereza kwenye viwanja vya Mahakama ya
Hakimu Mkaazi Kisutu, baada ya kesi inayomkabili ya kutuhumiwa kumuua
msanii mwenzake, Hayati Steven Kanumba, kuahirishwa tena na hivyo
mwanadada huyo ambaye umri wake unaleta utata ataendelea kusota rumande
hadi hapo kesi yake itakapotajwa tena
0 COMMENTS:
Post a Comment