October 14, 2012

SNURA MUSHI AMEFUNGUKA KUWA ANATAMANI NDOA KULIKO KITU KINGINE CHOCHOTE

Hi | 9:00:00 PM | | | |
Snura Mushi akiwa ameweka pozi
MWIGIZAJI wa filamu za Kibongo ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva, Snura Mushi amefunguka kuwa anatamani ndoa kuliko kitu kingine chochote, japokuwa bado hajapata mwanaume anayemfaa, 

Akichonga na safu hii, Snura alitiririka kuwa amekuwa akimwomba Mungu usiku na mchana ampatie mume mwema atakayekuwa na mapenzi ya dhati, mwenye heshima na mcha Mungu lakini wapi!

“Namuomba Mungu anipe mume mwema na hivi sasa nafanya kazi kwa bidii kwani ndiyo mkombozi wangu, najua siku ikifika Mungu atanipa mume mwema,”
alisema Snura.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster