October 19, 2012

MSANII WA BONGO MOVIE AUNT EZEKIEL AMEOLEWA!

Hi | 9:34:00 PM | | | |
Kwa mujibu wa MissiePopular, msanii maarufu wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel ameolewa. Stori hiyo haikufafanua ameolewa na nani ila tu imesema kwamba ameolewa katika harusi ya Kiislam.
Picha ya kwanza Aunt akitabasamu katika shughuli hiyo. Picha ya pili akisaini hati ya ndoa kuiweka ofisho! Hongera Aunt!

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster