Wema Sepetu (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kwenye
ukimbi wa idara ya habari maelezo jijini Dar es Salaam leo kuhusu kuwaomba radhi watanzania kwa
niaba yake na msanii mwenzake Ant Ezekiel kuhusiana na tukio la wao
kupigwa
picha zilizowaonyesha nusu uchi wakati wakijiachia katika Tamasha la
Serengeti
Fiesta lilipofanyika mkoani Dodoma. Kulia ni Msanii wa Bongo Movie Ant
Ezekiel
Hizi ndizo picha walizopiga hadi leo
wanajutia na kuwaomba radhi watanzania, picha ya Juu ni Anti Ezekiel na
Picha ya Chini ni Wema Sepetu.

0 COMMENTS:
Post a Comment