Baadhi
ya wafanyakazi wa Airtel wa kitengo cha huduma kwa wateja wakiwa katika
picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja
iliyofanyika katika makao makuu ya Airtel jijini Dar es saalam
Mmoja wa wateja akimlisha keki Mkuu
wa kitengo cha huduma kwa wateja Adrian Lyamba wakati wa uzinduzi wa
wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika katika makao makuu ya Airtel
jijini Dar es salaam
Mfanyakazi wa huduma kwa wateja
Atupiana Msuya akigawa vinywaji kwa baadhi ya wateja waliohudhuria
uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika katika makao makuu ya
Airtel jijini Dar es salaam
Mkuu
wa kitengo cha huduma kwa wateja Adrian Lyamba akimlisha keki moja ya
wateja aliyetembelea katika duka la Airtel lilolopo Moroco jijini Dar es
saalam wakatii wa ufunguzi wa wiki ya huduma kwa wateja ambapo Airtel
imefungua wiki ya huduma kwa wateja wiki nzima kwa kusherehekea na
kuwashukuru wateja wake nchi nzima. Halfa hiyo imefanyika katika makao
makuu ya Airtel jijiini Dar es saalam
Wafanyakazi
wa Airtel wakitoa huduma ya internet kwa a wateja waliotembea katika
duka la Airtel lilipo Moroco jijini Dar es saalm ambapo Airtel leo
imesheherekea uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja na kuwashukuru
wateja wake kwa kutumia huduma na mtandao wa Airtel
0 COMMENTS:
Post a Comment