Kitendawili cha nani atavaa taji la Miss World 2011 kinataraji kuteguliwa leo wakati wa Fainali za mashindano hayo zitakapo fanyika katikaukumbi wa Earls Court ndani ya jiji la London Uingereza. Tanzania katika mashindano hayo ya urembo ambayo ni makubwa Duniani inawakilishwa na VodacomMiss Tanzania 2011, Salha Izarael Kifai. Tyari mapema wiki hii Salha alifanikiwa kuingia katika 16 bora ya shindano dogo la Beauty with Purpose.
0 COMMENTS:
Post a Comment