November 24, 2011

KATIBU WA BUNGE DKT. THOMAS KASHILLILAH AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA MISWADA MBALIMBALI ILIVYOPITISHWA KWENYE KIKAO CHA TANO CHA BUNGE MJINI DODOMA HIVI KARIBUNI

Hi | 4:14:00 PM |
 Dkt. Thomas Kashillilah (katikati ) akiongea na Waandishi wa Habari kwenye Ukumbi wa Bunge mjini Dar es Salaam kama picha inavyonyesha kuhusu jinsi Miswada mbalimbali ilivyopitishwa kwenye kikao cha tano cha Bunge mjini Dodoma hivi karibuni
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashillilah ( kulia ) akiongea na Waandishi wa Habari( ambao hawapo pichani) kuhusu jinsi miswada mbalimbali ilivyopitishwa kwenye kikao cha tano cha Bunge mjini Dodoma hivi karibuni, kulia ni Mkurugenzi wa Habari,Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa Bw. Jossey Mwakasyuka .

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster