October 2, 2011

PETER MSECHU STEJINI NA EVE NAIROBI

Hi | 2:10:00 PM |
Mkali wa mashindano ya Project Fame kutoka Bongo, Peter Msechu (aliyekunja mikono kifuani) ni miongoni mwa wasanii watakao perform steji moja na msanii kutoka Marekani Eve (kati), Shaggy na wengine katika tamasha la Tusker Project Fame All Stars linalofanyika mchana huu jijini Nairobi, nchini Kenya

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster